OFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM ZA SMZ

BARAZA LA JIJI LA ZANZIBAR
Vitengo
Nyumbani / Vitengo
VITENGO VYA BARAZA LA JIJI LA ZANZIBAR

Majukumu ya kitengo

  1. Kufanya ukaguziwa matumizi na mapato kwakazi za kawaidana kazi za maendeleo (Miradi ya Afisi) ya Baraza la JIji la Zanzibar;
  2. Kufanya ukaguziwa matumizi na mapato kwakazi za kawaidana kazi za maendeleo (Miradi ya Afisi) ya Baraza la JIji la Zanzibar;
  3. Kutoa ripotiya awali (First Draft) na ripoti ya mwisho (Final Report) ya Ukaguzi kwa Taasisi/Idara iliyokaguliwa kwa wakati;
  4. KuratibuVikao vyaKamati yaUkaguzi (AuditCommittee) ya Barazala JIji;
  5. Kufanyaukaguzi wamatumizi yarasilimali zaAfisi nakuandaa taarifa;
  6. Kufanya ukaguzi wa taratibu na mifumo ya utendaji kazi ya Baraza la JIji;
  7. Kufanya ufuatiliaji wa maagizo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali;
  8. Kuandaataarifa nakufanya ukaguzikwa mujibuwa thamaniya fedha.
  9. Kubuni na kupendekeza mifumobora ya udhibitina usimamizi wa fedha za ndani (internal control mechanism)
  10. Kuandaa ripoti ya mwezi, robo, nusu, na mwaka ya matumizi ya fedha
  11. Kufanya ukaguziwa matumizi ya fedha pamojana rasilimali nyengine ya Baraza la Jiji
  12. Kutoa ushauri juu ya matumizi ya mifumo ya kielektroniki ya ukusanyaji wa mapato.
  13. Kutoaushauri namwenendo wamatumizi yafedha katikaBaraza laJiji



majukumu ya kitengo

  1. Kusimamia kazi za ununuzi na uondoshaji wa mali za umma katika Baraza la Jiji la Zanzibar isipokuwa maamuzi na utoaji wa mikataba;
  2. Kusaidiakazi zaBodi yaZabuni yaBaraza laJiji laZanzibar ;
  3. Kutekelezamaamuzi yaBodi yaZabuni yaBaraza laJiji laZanzibar;
  4. Kutoa hudumaza Sekretariati ya Bodi ya Zabuni ya Baraza la Jiji la Zanzibar.
  5. Kupanga Mpango wa Ununuzina Mpango wa Uondoshaji wa Mali za Umma ya Baraza la Jiji la Zanzibar;
  6. Kupendekeza taratibu za ununuzi na uondoshaji wa mali za umma za Baraza la Jiji la Zanzibar;
  7. Kutayarisha na kupitia vigezo vitakavyotumika kwenye Zabuni za Baraza laJiji la Zanzibar;
  8. Kutayarishanyaraka zazabuni zaBaraza laJiji laZanzibar;
  9. Kutayarishamatangazo yazabuni zaBaraza laJiji laZanzibar;
  10. Kutayarisha nyarakaza mikataba na kutoa nyarakaza mikataba zilizothibitishwa zinazohusu Baraza la Jiji la Zanzibar;
  11. Kuziweka na kuzihifadhi taarifa na taratibu zilizotumika katika ununuzi na uondoshaji wa mali za umma za Baraza la Jiji la Zanzibar;
  12. Kuandaa, kutunzana kuhuisha daftarila mali mbalimbali za Baraza la Jiji la Zanzibar;
  13. Kuandaa orodha ya vifaa katika kila Afisi ya Baraza la Jiji la Zanzibar
  14. Kufuatilia mali chakavu zilizopitiwa na muda wa matumizi za Baraza la Jiji la Zanibar
  15. Kuandaa na kupendekeza uondoshwaji wa Mali za Umma katikaBaraza la Jiji la Zanzibar.

Majukumu ya kitengo

  1. Kukuza na kujenga uhusiano mwema kati ya Afisi ya Baraza la Jiji la Zanzibar, wannachina taasisi nyengine;
  2. Kuandaa na kuratibu utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Mawasilaino wa Baraza la Jiji la Zanzibar.
  3. Kuandaa na kutoa elimu, kupitia vyombo vya habari, vipeperushi, majarida na wasanii kuhusianana masuala ya Baraza la Jiji la Zanzibar na shughuli inazozifanya.
  4. Kupokea malalamiko na mapendekezo kutoka kwa wadau juu ya utendaji wa Afisi ya Baraza la Jiji la Zanzibar na Manispaa zake na kuyatolea majibu yake;
  5. Kupokea malalamiko na mapendekezo kutoka kwa wadau juu ya utendaji wa Afisi ya Baraza la Jiji la Zanzibar na Manispaa zake na kuyatolea majibu yake;
  6. Kuratibu na kusimamia masuala mbalimbali ya kiitifaki ya Afisi ya Baraza la Jiji la Zanzibar;
  7. Kuratibu ushiriki wa Afisi ya Baraza la Jiji la Zanzibar katika maonesho na makongamano mbali mbali ya kitaifa na kimataifa;
  8. Kusimamia na kuratibu taarifa zinazotoka Baraza la Jiji la Zanzibar kwenda katika vyombo vya habarina jamii na;
  9. Kuratibu ziaraza wageni wa ndani na wa nje ya nchi wanaofika kwa lengo la kupata ufahamuna uzowefu wa shughuli za Baraza la Jiji.



Majukumu ya kitengo

  1. Kuandaa mpango mkakati na taratibu za matumizi ya TEHAMA kulingana na miongozoya Serikali;
  2. Kutoa ushaurikwa Baraza la Jiji la Zanzibar katikamasuala yanayohusu TEHAMA;
  3. Kusimamia uandaaji na matumizi ya tovuti na “data base” kwa ajili ya matumiziya Baraza la Jiji la Zanzibar;
  4. Kuandaa, kufuatilia na kukagua mifumo ya TEHAMA “hardware na software”katika Baraza la Jiji la Zanzibar na kuweka kumbukumbu zake;
  5. Kutathmini, kutunza, kuimarisha na kufuatilia matumizi ya TEHAMA katika Baraza la Jiji la Zanzibar;
  6. Kushirikiana na Afisi ya Serikali Mtandao (E-Government) katika masuala yote yanayohusiana na mfumo wa takwimu wa Taifa;
  7. Kuandaa ripotina kushauri kuhusuuimara wa mifumo ya kompyuta inayotumika kufanyia matumizi katika Baraza la Jiji la Zanzibar;
  8. Kusimamia mifumo ya Kielekroniki ya ukusanyaji wa mapato ya Baraza la Jiji na kutoa mapendekezo ya maboresho ya mifumo hiyo na;
  9. Kuanzisha na kuwezesha matumiziya Mtandao wa ndani ya Afisi (Local Area Network) na Mtandao Mpana (Wide Area Network).




Majukumu ya kitengo

  1. Kutoa ushauri wa Kisheria kwa Baraza la Jiji la Zanzibar, Mabaraza ya Manispaa pamoja na wadau wengine.
  2. Kuandaa Sheria ndondogo, Miongozo na taratibu za uendeshaji na usimamizi wa shughuliza Baraza la JIji la Zanzibar na Manispaa zake.
  3. Kusimamia masualayote ya kisheriayanayohusu kazi za Baraza la Jiji la Zanzibar ikiwemo utatuzi wa migogoro inayohusiana na utoaji wa huduma au ufanyajikazi wa Barazala Jiji na Manispaa zake na Kuandaa na kupitia mikataba ya Baraza la Jiji la Zanzibar pamojana Kutayarisha na kusimamiamiswada ya Kanuni mbali mbali zinazohusiana na Baraza la Jiji la Zanzibar.
  4. Kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Serikali za Mitaa pamojana Sheria ndogo za Baraza la Jiji la Zanzibar na Manispaa zake.
  5. Kuwakilisha Baraza la Jiji Mahakamani kwa kushirikiana na Afisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa Mapinduzi ya Zanzibar.



MAJUKUMU YA KITENGO CHA FEDHA NA HESABU

  1. Kuhakikisha usimamizi bora wa makusanyo ya mirabaha na matumizi ya kaziza kawaida na maendeleo ya fedha za Afisi pamojana washirika wa maendeleo; kulingana na Sheriana Kanuni;
  2. Kuandaa taarifa za makusanyo na ugawaji wa mirabaha (Financial Statements) na kuziwasilisha katika mashirika ya kimataifa ambayo Afisi ya Baraza la Jiji la Zanzibarni mwanachama;
  3. Kuandaa na kufunga hesabu za mwaka za Afisi ya Baraza la Jiji la Zanzibar kwa mujibu wa miongozo ya Muhasibu Mkuu na MkaguziMkuu wa Hesabu za Serikali;
  4. Kuhakikishafedha zaBaraza laJiji la Zanzibar zinatumika ipasavyo;
  5. Kuandaa na kufanya malipo mbalimbali ya Afisi ya Baraza la Jiji la Zanzibar;
  6. Kuandaa taarifa zote za uhasibu za Baraza la Jiji la Zanzibar na kuwasilisha kunakohusika kwa wakati;
  7. Kutoa ushauri wa kiuhasibu kuhusiana na mambo yote ya fedha; na Kusimamiarasilimali fedha, Sheria za Fedha pamoja na Sheria ya Ununuzi na Uondoshaji wa mali ya Umma pamojana Kanuni zake;
  8. Kuandaa taarifa za matumizi ya fedha za robo, nusu na mwaka mzima za Baraza la jiji la Zanzibar na kuziwasilisha katika Wizara husika;
  9. Kuandaa nyarakaza matumizi ya fedha na kutunza kumbu kumbu zake na;
  10. Kujibu hoja za ukaguzi kama zitakavyoibuliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wakatiwa ukaguzi.