OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM ZA SMZ
BARAZA LA JIJI LA ZANZIBAR

Huduma Zetu
Nyumbani / Huduma Zetu
HUDUMA ZETU
-
Mipango Miji na Ujenzi
Kusimamia mipango ya ujenzi na maendeleo ya miundombinu, ikiwa ni pamoja na barabara, masoko, na maeneo ya umma.
-
Usafi na Mazingira
Kuhakikisha usafi wa mazingira kwa kutoa huduma za kukusanya taka na kuhifadhi mazingira ya kijani.